• Primary School Background picture
    Our Motto: Education for Excellence

ANNOUNCEMENTS & UPCOMING EVENTS

 

(MARY MOTHER OF MERCY ENGLISH MEDIUM PRE-PRIMARY & PRIMARY SCHOOLMJIMPYA RELINI, INAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KWA MWAKA 2021 KAMA IFUATAVYO:-

DARASA LA KWANZA HADI LA TATU [ I – III ]

DARASA LA TANO HADI LA SITA       [ V – VI ]

USAFIRI UPO PAMOJA NA NAFASI ZA BWENI KWA WASICHANA TU  WA UMRI WA MADARASA YOTE.

FOMU ZINAPATIKANA KWA GHARAMA YA SHILINGI 15,000 TU. KWA MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE KWA NAMBA ZIFUATAZO;

0787886959

SCHOOL RE-OPENING JUNE 2020

Dear parents,

School is now re-opened according to the government rule according to the ongoing pandemic.

All necessary facilities for washing and preventing e.g soap, water  and even the masks are available at school.

The school time table and calendar will be amended and the information will be given to the parents through the pupil diaries.

As the schools are locked down due to coronavirus outbreak, the school has prepared home packages (questions) for each class. Click here to avail the given facility.

NEWS UPDATE

ULIPAJI WA ADA

Mzazi /Mlezi

Kama una deni la ADA awamu ya kwanza (January), lipa kuepuka usumbufu.

Kama hauna deni la nyuma mchanganuo wa ada ni kama ifuatavyo;

Malipo ya ada(tution fee) yatabaki vilevile kwa kila awamu kama ilivyokuwa mwanzoni. Badiliko liko katika chakula, ambapo kuanzia JULAI mpaka NOVEMBA gharama ya chakula itakuwa shilingi 175000. Gharama hiyo inaweza kulipwa mara mbili. Tunapofungua shule ada ya awamu ya pili ilipwe kipindi hiki cha mwezi JULAI, na malipo ya mwisho yamesogezwa mpaka OCTOBA mwanzoni.

 

GHARAMA ZA USAFIRI

Vituo vya mbali sh 50,000 kwa mwezi. Miezi ya masomo shuleni kwa mwaka ni 10 kwa hiyo 50,000 x 10 kwa mwaka ni laki 5 (500,000). Kutokana na likizo ya Corona muda wa masomo umepungua hadi miezi 8, Kwa hiyo 50000 x 8 = 400000. Kama January umeshalipa 200,000 awamu ya kwanza, deni lililobaki ni 200,000 kwa sasa.

Vituo vya karibu sh 40,000 kwa mwezi. Miezi ya masomo shuleni kwa mwaka ni 10 kwa hiyo 40,000 x 10 kwa mwaka ni laki 4 (400,000). Kutokana na likizo ya Corona muda wa masomo umepungua hadi miezi 8, Kwa hiyo 40,000 x 8 = 320,000. Kama January umeshalipa 200,000 awamu ya kwanza, deni lililobaki ni 120,000 kwa sasa. DARASA LA SABA mwisho wa kulipa ada ni Septemba mwanzoni.

MENGINEYO.

  • Kila mwanafunzi aje na barakoa 2, moja atabadili ikiwa ingine imeshika uchafu.
  • Kitambaa cha mkono aweze kujikausha mikono baada ya kunawa.
  • Mda wa kutoka umeongezeka hadi saa 10 jioni ISIPOKUWA darasa la saba watakaa hadi saa 11 jioni jumatatu hadi ijumaa. Jumamosi wanafunzi wote watakuja kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 6:30 mchana.

 

School will be reopened on 29th June 2020 and there will be an opening test, all pupils are expected to be in school on time. Hostel pupils are expected to reach to the hostel on 28th June by evening.

SCHOOL MISSION

 To uplift and integrate the pupil into a bright future providing quality education, discipline, moral values and spiritual guidance. 

SCHOOL VISION

To build up a society that is based on positive cultural, traditional, moral and spiritual values, for a peaceful and prosperous world.